Tunatoa mfumo rahisi wa uhifadhi wa tiketi mtandaoni kwa wasafiri, unaowawezesha kuhifadhi viti kwa urahisi kwa njia mbalimbali za mabasi.
Tunaiwezesha kampuni za mabasi kusimamia mauzo ya tiketi, kufuatilia bookings, na kudhibiti viti vilivyopo kwa wakati halisi.