1. Kwa wamiliki wa Mabasi pakua app ya Stendi Mkononi (Admin)
2. Kisha bonyeza register ili sijajili Kampuni
3. Hakikisha Taarifa unazojaza ni za ukweli na kwa usahihi kwani zitatumika baadae ( Jina kamili la kampuni, email ya kampuni, Namba ya Simu ya Kampuni pamoja na Nywila) haishauriwi kutumia namba ya Simu au email ya mtu binafsi
4. Baadaya ya hapo Stendi Mkononi Itakutumia Mkataba na Kukuruhu Wewe kutumia huduma hio kwa wiki moja ya Majaribio bila malipo yoyote
5.Baadae ya hapo utapelekwa kwenye kuingia kwenye application ambayo utadaiwa email ya kampuni pamoja na Nywila ya company uliotumia kufanya usajili .
6. Baadae ya Kuingiza taarifa sahihi ( kama zilizojazwa wakati wa usajili) utaweza kuingia kwenye application na kufurahia huduma