1. Kwa mawakala wa Mabasi pakua app ya Stendi Mkononi (Agent)
2. Kisha bonyeza register ili ujisajili kama wakala
3. Hakikisha Taarifa unazojaza ni za ukweli na kwa usahihi kwani zitatumika baadae (Jaza Jina kamili la kampuni kwa usahihi,chagua Mkoa uliopo, Jaza kituo Chako cha ofisini ( ofisi iko wapi) Majina yako Mawili, email yako , Namba ya Simu inayopatikana pamoja na nywila)
4. Baada ya hapo utasubiri Admin wa Kampuni yako akuidhinishe ili uweze Kutumia application
5. Baada ya kuidhinishwa utaweza Kuingia ndani ya application kwa Kuingiza email yako pamoja na nywila