1. Kwa Wateja / Wasafiri wa Mabasi pakua app ya Stendi Mkononi
2. Kisha bonyeza register ili kujisajili
3. Hakikisha Taarifa unazojaza ni za ukweli na kwa usahihi kwani zitatumika baadae ( Jina kamili , email , Namba ya Simu pamoja na Nywila)
4. Baada ya hapo utapelekwa kwenye kuingia kwenye application ambayo utadaiwa email ya pamoja na Nywila uliotumia kufanya usajili
5. Baadae ya Kuingiza taarifa sahihi ( kama zilizojazwa wakati wa usajili) utaweza kuingia kwenye application